Wananchi wa mkoa wa Dodoma wamewalilalamikia
shirika la umeme Tanzania TANESCO Kuwa pamoja na adha wanayoipata kutokana na
mgao wa umeme ni hasara kwao pia ni hasara kwa Tanesco kwani wanapo kata umeme wanapunguza
matumizi ambayo hupelekea kiwango kidogo cha manunuzi ya LUKU na malipo kidogo
ya bili. Kwa upande wa wanachi wengine wao walisema:sisi tunategemea umeme kujipatia
kipato cha kila siku kwa mfano sisi tunao chomelea, watu wa salon,na watu
wengine ambao bila umeme hawawezi kufanya kazi umeme unapokatika kwetu ni
hasara kubwa.
KUTOKA SHAZI USWAZINI
NI MIMI MWANAHABARI WAKO:
ABDUL RASHID MUSSA
PIA UNAWEZA KUPATA
HABARI HIZI KUPITIA ACCOUNT YA FACE BOOK/CRAYZ BEEZ

No comments:
Post a Comment