Ilianzia NJEDENGWA
ikahamia MBUYUNI hatimaye KIKUYU Na sasa kabla ya kwenda MJI MWEMA na NDACHI wameanzia CHINANGALI
WEST na watamalizia na KWA MWATANO.
Wananchi
wa mkoa wa Dodoma hususani manispaa ya Dodoma mjini imewalalamikia Mamlaka ya Ustawishaji
Makao Makuu (CDA) kwa kitendo cha kubomoa
makazi yao kwa madai ya kuboresha mji. Baadhi ya wakazi hao walisikika wakisema CDA Wamekuwa wakibomoa makazi yao
pasipo na kuwaonyesha makazi mengine ya kwenda kuishiKwa upande wa CDA tumezungumza na mkurugenzi wa CDA alijitetea kwa kusema “ Tuliwapa
taarifa mapema wale wote walio vamia na kujenga kiholela waondoke baada ya
miezi sita(6)
Lakini walikaidi agizo hilo sasa hatuna budi kuwaondoa kwa nguvu”
Na aliipo ulizwa kuhusu viwanja walivyo gawa kwa upendeleo alijibu: Mbuyuni ni
eneo la viwanda hakuna mwananchi aliyegaiwa kiwanja Pia MJI MWEMA ni eneo la makaburi. Mwandishi wetu ali dodosa kujua
malipo ya wakazi hao walio bomolewwa makazi yao. Alijibu: Barabara ya CHINANGALI WEST ilipimwa mwaka 1972/73 na hapa kuwa na makazi ya watu.Wenye
haki ya kulipwa ni wale walio kutwa na barabara na si walio ikuta barabara. Pia
wananchi wamekuwa wakiilaumu CDA kwa
utapeli wa kuuza kiwanja kimoja kwa watu zaidi ya watatu kwa kusema huo ni
wizi. POLENI SANA WAKAZI WA MAENEO
YANAYO KUMBWA NA BOMOABOMOA .BURUDANI MAKINI

No comments:
Post a Comment