Sunday, September 2, 2012

AKONSHAZ MUSIC presents: D SERIEZ "the Degree Of Music Experience",. in studio freestyle'z

      D seriez ni crew ambayo ilitokana na crew ya muziki ambayo ilianzishwa 2003 iliyoitwa Black Four Boys "BFB" kipindi waanzilishi wa kundi hilo wakiwa shule ya msingi Amani, Dodoma.
        Baada ya kumaliza elimu ya msingi na kupoteana kwa muda ndipo mwaka 2007 Rashid "MF Baby" na Cascos walipokutana na kuunda kundi lililokwenda kwa jina la D SERIEZ ambapo mwaka 2010 Crown Jay ambaye alikuwa mmoja wa waasisi wa BFB alijiunga na D SERIEZ hivyo kukamilisha vichwa vitatu vinavyounda D SERIEZ yaan Cascos, Crown Jay na MF Baby.
    Baada ya kukutana kwa "three gifted brains" ndipo Akonshaz Music Company ilipozaliwa,..
      Ukitaka fahamu zaidi kuhusu Akonshaz Music tembelea blog hii mara kwa mara pia utapata fahamu ni nini hasa Akonshaz Music inajihusisha navyo,.!!

No comments:

Post a Comment