Ni msanii aliyepata kuitangaza Dom katika anga la muziki kupitia crew yake ya Central Zone na anakwenda kwa jina la Kona King, wengine wanaounda kundi hilo la Central Zone ni pamoja na Toxic na Moni.
Kwa sasa wana'hit kwa ngoma kali iliyofanyika chini ya producer J Rider wa Tongwe record's wakimshirikisha Jos Mtambo na G Nako na ngoma inakwenda kwa jina la "Nauza Hisia"
No comments:
Post a Comment