Monday, March 11, 2013

Matukio na Picha:


Kweli ipo haja ya kuamini ipo siku tuta ishi kama wao hii ndo supa maketi yetu huku tuishio sisi wamwisho kufika wa kwanza kuondokaBURUDANI MAKINI

Matukio na Picha:




Poleni wafanya biashara wa soko dogo la sabasaba..... hiviii na skia eti mkurugenzi kasema hajui kama soko letu limevunjwa kwamba haja pewa taarifa jamaaaaaniiii, haya..........

Matukio na Picha


Baadhi ya picha zinazoonyesha mazingira ya sasa ya stendi ya mabasi ya mkoani na vijiji vya karibu: Picha hapo juu ni stendi ya mabasi ya vijijini hapo ilipo wekwa ni pembeni ya shule ya kiserikali ya sekondari DodomaBURUDANI MAKINI

MGAO WA UMEME UNAOTESA WANANCHI MBALI NA KUPUNGUZA MAPATO YA TANESCO


Wananchi wa mkoa wa Dodoma wamewalilalamikia shirika la umeme Tanzania TANESCO Kuwa pamoja na adha wanayoipata kutokana na mgao wa umeme ni hasara kwao pia ni hasara kwa Tanesco kwani wanapo kata umeme wanapunguza matumizi ambayo hupelekea kiwango kidogo cha manunuzi ya LUKU na malipo kidogo ya bili. Kwa upande wa wanachi wengine wao walisema:sisi tunategemea umeme kujipatia kipato cha kila siku kwa mfano sisi tunao chomelea, watu wa salon,na watu wengine ambao bila umeme hawawezi kufanya kazi umeme unapokatika kwetu ni hasara kubwa.

UJENZI WA STENDI YA MKOA NA STENDI YA VIDALADALA YASABABISHA MSONGAMANO




Wakati mkoa wa Dodoma ukiendelea kukua kwa kasi kufuatia kuboreshwa kwaMiundombinu na ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani pamoja na ujenzi wa stendi ya Daladala maarufu kama JAMATINI umekuwa ni chanzo cha msongamano wa magari,abiria,wafanya biashara na vibaka hali ambayo nikero kubwa kwa wakazi Mkoa wa Dodoma. Mwandishi wetu alipozungumza na SUMATRA wao walisema:Tuliweka utaratibu mzuri wa daladala zilizohamishwa kutoka Jamatini nakwenda eneo la Reilway ilikupisha ujenzi wa kituo hicho cha daladala na mabasi yaendayo mikoani wao walipelekwa NANENANE sasa kama hawa wa mabasi yaendayo mikoani wamerudi eneo walipo hamishwa watakuwa wamekaidi agizo la Serikali.

MANISPAA WAENDELEA KUWANYANYASA WAFANYABIASHARA WADOGO WA DODOMA






Waliwavunjia soko la RAILWAY wakaenda nje ya soko la MAJENGO baada ya kuwafukuza wakahamiSABASABA na usiku wa kuamkia leo wamewavunjia na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara hao.  Wakizungumza na SHAZI USWAZINI wafanyabiashara hao walikuwa na haya ya kusema: Manispaa wanatunyanyasa sana na hii ni kwa sababu walipo tuvunjia Railway wakatupeleka CHADURU sehemu ambayo ni kando ya mji na kama unavyojua biashara zetu zinahitaji sehemu yenye mkusanyiko wa watu. Tukaamua tukabanane soko kuu Majengo walipo tufukuza tulienda kwa mkuu wa mkoa kulalamika ndipo Manispaa wenyewe wakatuleta hapa sabasaba chaajabu usiku wa leo wametuvunjia bila taarifa.

Friday, March 8, 2013

BOMOA BOMOA YAENDELEA KWA KASI DODOMA MJINI



Ilianzia NJEDENGWA ikahamia MBUYUNI hatimaye KIKUYU Na sasa kabla ya kwenda MJI MWEMA na NDACHI wameanzia CHINANGALI WEST na watamalizia na KWA MWATANO.

Wananchi wa mkoa wa Dodoma hususani manispaa ya Dodoma mjini imewalalamikia Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kwa kitendo cha kubomoa makazi yao kwa madai ya kuboresha mji. Baadhi ya wakazi hao walisikika wakisema CDA Wamekuwa wakibomoa makazi yao pasipo na kuwaonyesha makazi mengine ya kwenda kuishiKwa upande wa CDA tumezungumza na mkurugenzi wa CDA alijitetea kwa kusema “ Tuliwapa taarifa mapema wale wote walio vamia na kujenga kiholela waondoke baada ya miezi sita(6) 

Sunday, February 17, 2013

NEW MUSIC AUDIO: UNKNOWN by STAN BANX


SHAZI USWAZI INTRODUZE SIKILIZA ON LINE

Baada ya kubeng sana na vidio seshen  on line yaani SHAZI USWAZINI sasa timu ya S.U inakuletea SIKILIZA ON LINE web radio ambayo itakuwa inakupa info tofauti tofauti kwa njia ya Audio sistim.

Saturday, November 17, 2012

SHAZI USWAZINI [Swahili webshow] Season 1, Episode 3

A swahili webshow from Dodoma Tanzania where the real talented musician where born. It's all bout introducig upcoming artists to the GAME,.! Hosted by different radio and TV presenters around Dom area,.! WATCH'OUT and DONT MISS THE SHOW,.!
SEASON 1
Episode 1: Hosted by Money 1st with guest artists, Brother 2 see & JXJ [On Air now]
Episode 2: Hosted by Dj Jeff (ABM Radio 91.2 Dom) with guest artist, Slim sal [On Air now]
Episode 3: Hosted by Winston Makangale (Nyemo fm 97.7 Dom) with guest artist, Central zone & Scooby [On Air now]








Bofya "Endelea" kuchek the Shazi Uswazini "the best swahili webshow"

Monday, October 1, 2012

SHAZI USWAZINI [swahili webshow] Season 1, Episode 2

  Hosted by DJ JEFF (ABM RADIO 91.2 DOM) 

Guest artists: SLIM SAL & G SNOB

Special thanx: FAFIFU WA KITAA (Barabara ya 6)

 

A swahili webshow from Dodoma Tanzania where the real talented musician where born. It's all bout introducig upcoming artists to the GAME,.! Hosted by different radio and TV presenters around Dom area,.! WATCH'OUT and DONT MISS THE SHOW,.!